Sunday, April 6, 2014

UCHAGUZI CHALINZE


Aziza mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia Baba yake kuweka kura kwenye sanduku la kura ,Ridhiwani alipigia kura yake kwenye Kata ya Bwilingu.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipiga kura katika uchaguzi mdogo Jimbo la Chalinze
    Mama Salma Kikwete akipiga kura katika uchaguzi huo. Picha na BLOG YA KAMANDA MATUKIO

         

No comments:

Post a Comment