Mtuhumiwa wa kusafirisha dawa za kulevya, Olabisi Ibidun Cole (65), ambaye ni raia wa Nigeria, akiwa chini ya ulinzi wakati akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kurudishwa mahabusu, mara baada ya kutajwa kwa kesi inayomkabili, Dar es Salaam jana.
Mmoja wa watuhumiwa pamoja na Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco, Sophia Athanas (mwenye miwani katikati)
Mtuhumiwa ambaye ni mke wa Aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO William Mhando, Bi. Eva Mhando (kushoto), akiingia mahakamani.kusikiliza kesi inayowakabili na mumewe
No comments:
Post a Comment