Saturday, May 10, 2014

MAADHIMISHO YA WIKI YA ULAYA (EUROPEAN WEEK)

Wachezaji wa Timu ya Hispania wakisalimiana na viongozi wa Jumuiya ya Ulaya na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Ulaya
Baadhi ya viongozi wa Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya na TFF wakiwa katika maandalizi ya kukabidhi zawadi kwa timu mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo


Rais wa TFF akiinua Kombe kabla ya kumkabidhi Nahodha wa Timu ya Hispania iliyotwaa kombe hilo dhidi ya Timu ya Italy
  Rais wa TTF Jamal Malinzi akizungumza wakati  mashindano ya Wiki ya Ulaya (EU WEEK). Kushoto ni Balozi wa EU na Wajumbe wa TFF, Ally Mayay na Wilfred Kidau
Rais wa Shirikisho la Soka TANZANIA (TFF), Jamal Malinzi (Kulia), akiwa katika picha na mabingwa timu ya Hispania. Kushoto ni Balozi wa Jumuiya ya Ulaya EU nchini. Pichja iliyopo (mbele), ni mmoja wa waratibu wa mashindano hayo aliyefariki muda mfupi kabla kuanza kwa maadhimisho hayo.
           Kikosi cha Timu ya Hispania mara baada ya kutwaa kombe dhidi ya Timu ya Italy. Timu za vijana ziliundwaa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Ulaya, Uwanja wa Karume

No comments:

Post a Comment