Sunday, May 25, 2014

BONANZA LA BIA YA CASTLE PERFECT 6 LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM


Wachezaji wa timu ya Infinity Communicatios,wakifurahi baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali,katika mashindano ya Castle Lager Perfect Six wilaya ya Kinondoni yaliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Mwinjuma jijini Dar es salaam jana (Picha na Executive Solutions)

Meneja Mradi wa Bia ya Castle Lager, Willhard Malimbo (katikati) akiwakabidhi zawadi wachezaji wa Timu ya Gaddafi walioibuka washindi wa kwanza katika mashindano ya Castle Perfect Six yalilofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment