Thursday, July 10, 2014

VODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA NA MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT)

Saimon Migangala wa UTT akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Salum Mwalim

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalim (kushoto), akiwaonesha waandishi wa habari,(hawapo pichani) Dar es Salaam jana,kipeperushi kinachoonesha jinsi ya kutumia huduma ya M-pesa kwa ajili ya kununua vipande vya mifuko ya pamoja iliyo chini ya Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT). Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa mfuko huo, Simon Migangala.

No comments:

Post a Comment