Saturday, February 22, 2014

FURAHA YANGA

Wachezaji wa Yanga, wakishangilia mara baada ya kufunga goli la 7, dhidi ya Ruvu Shooting, wakati wa pambano la Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Kutoka (kushoto), ni Didier Kavumbagu Simon Msuva na Oscar Joshua. Picha na Charles Lucas)

Kocha wa Yanga akizungumza na mshambuliaji wa Kimataifa Didier Kavumbagu.

Mchezaji wa Yanga Emmanuel Okwi, akisalimiana na mashabiki baada ya dhidi ya Ruvu Shooting Taifa Dar es Salaam leo

Benchi la Yanga likifuatili mchezo huo.

No comments:

Post a Comment