Sunday, February 23, 2014

Waziri wa biashara wa Uholanzi Maline Ploumen

Waziri wa biashara wa Uholanzi  Maline Ploumen akisaini  ikiwa ni kumbukumbu katika kifaa cha gesi asilia cha kampuni ya SIM GAS Tanzania, wakati wa ziara hivi karibuni

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia zana za kilimo za Kampuni ya Farm Eqip Tanzania Limited, wakati wa maonesho ya zana aza kilimo. Kushoto ni Menea Mkuu wa kampuni hiyo. Mustafa

Mchuuzi wa korosho katika harakati

Mr.Rahim(R) and friend in discution last week
At Aga khan event Dar es Salaam

Kipute na kipigo cha Yanga dhidi ya Ruvu Shooting Taifa

Mashabiki wa Yanga na katuni

No comments:

Post a Comment