Monday, February 24, 2014

Mkazi wa jiji akining'inia katika daladala linalosafiri kati ya Mnazi Mmoja na Tabata Kimanga ili kukwepa kulipa nauri,  kama alivyopikutwa Barabara ya Uhuru, Dar es Salaam hivi karibuni 'yote maisha tu'.

No comments:

Post a Comment