ZAWADI YA MEYA MASABURI
Meya wa Jiji la Vallejo, Carifornia nchini Marekani Osby Davis, akimkabidhi zawadi ya saa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mstahiki Didas Masaburi, wakati wa ziara kuangalia fursa za uwekezaji, Dar es Salaam jana.
UKAGUZI PIKIPIKI
Askari wa usalama barabarani akiizuia pikipiki baada ya kuikamata ili ikaguliwe, kama alivyokutwa Mtaa wa Samora Posta, Dar es Salaam jana.
ZAWADI YA SAA YA KUMBUKUMBU
Meya akionesha saa aliyopewa na Meya wa Jiji la Vallejo California nchini Marekani , 0sby Davis jijini Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment