Thursday, February 27, 2014
NMB MSAADA AMANA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadick (Kushoto) akimkabidhi shuka ukiwa ni sehemu ya msaada wa vifaa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Ilala, Dkt. Meshack Shimwela. Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa. Msaada huo umetolewa na Benki ya NMB kabidhiano hayo yalifanyika jana, wakati wa uzinduzi wa Tawi la NMB Barabara ya Mandela. Katikati ni Meneja wa Kanda ya Dar es salaam wa benki hiyo, Salie Mlay. (Na Mpigapicha Wetu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment