Saturday, March 1, 2014

YANGA YAVUNJA MWIKO WA National Al Ahly yaichapa 1-0 Taifa


Mashabiki wa Al Ahly wakipeperusha bendera yao huku wakiwa vifua wazi
Mashabiki wa Yanga wakishangilia goli.
Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji akiwapongia mashabiki
Benchi la Ufundi la Al Ahly likiwa katika tafakari kubwa
Wachezaji National  Al Ahly wakifuatilia mchezo huo
Salamu za wachezaji kabla ya mechi Taifa jana
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Simba
Haruna Niyonzima akichanja mbuga na kumtoka beki wa National
Hekaheka langoni mwa Al Ahly

No comments:

Post a Comment