Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akikata utepe, Dar es Salaam jana, kuashiria uzinduzi rasmi wa makubaliano ya Utunzaji na Ulindwaji wa Hifadhi za Urithi wa Tamaduni za Watanzania. Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini (EU), Filiberto Sebregondi . Picha zaidi maofisa wakitia saini mikataba.
No comments:
Post a Comment