Friday, February 21, 2014

MATUKIO HIVI KARIBUNI





 GESI ASILIA
Waziri wa Masuala ya Biashara ya Nje wa Uholanzi, Liliane Ploumen, akisaini katika moja ya viunganishi vya kuzalishia gesi asilia itokanayo na takataka na vinyesi ya Kampuni ya SIM GAS Tanzania Limited, wakati wa uzinduzi Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)




Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom. Salum Mwalimu , akimkabidhi mmoja wa washindi wa pikipiki za promosheni ya TIMKA NA BODABODA YA KAMPUNI HIYO JUZI.





 KIKUMBO CHA MWIZI
Askari wa usalama barabarani akisaidiwa na msamaria (kulia), asianguke baada ya kupigwa kikumbo na mtuhumiwa wa wizi (hayupo pichani) aliyekuwa akikimbia kipigo cha watu wenye hasira, kama walivyokutwa Shule ya Uhuru Kariakoo jana. Baadhi ya wakazi wa jiji wanajihusisha na vitendo vya wizi kwa kisingizio cha ugumu wa maisha hali inayosababisha watu  wanaoibiwa kuchoshwa na kuchukua hatua kali ikiwamo vipigo. (Picha na Charles Lucas)






MKUTANO AGAKHAN: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA (JUU) AKIWA KATIKA MKUTANO NA VIONGOZI WENGINE WA TAASISI HIYO.

No comments:

Post a Comment