Saturday, March 15, 2014

ULINZI MKALI

Askari wa doria akijaribu kuwadhibiti baadhi ya wakazi wa Mbagala Misheni, waliokuwa wakiiba mafuta ya kula baada ya gari lenye konteina la futi 40 kupinduka kartike eneo hilo, Barabara ya Kilwa.

No comments:

Post a Comment