Saturday, March 15, 2014

Dereva akilisukuma gari lililoharibika katika makutano ya Barabara za Nyerere na Msimbazi eneo la KAMATA, moja ya chanjo cha msongamano na foleni jijini Dar es Salaam.
Wachuuzi wa dawa za asili wenye asili ya Kimasai wakijipatia mlo wa matunda ndizi, kama walivyokutwa nje ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ilala Boma.

No comments:

Post a Comment