Tuesday, March 25, 2014

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

        Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam akiomba msaada wa fedha kwa msamaria kama alivyokutwa Barabara ya Nyerere eneo la KAMATA. Manispaa ya Ilala imekuwa ikifanya operesheni ya kuwaondoa mitaa hata hivyo haijafanikiwa.
 Dampo lisilo rasmi likiwa katika Mtaa wa Msimbazi Shule ya Uhuru Kariakoo. Hali hiyo husababishwa na ucheleweshaji wa kusombwa na wakala wahusika wa uzoaji takataka katika eneo hilo.
Kondakta wa daladala hilo linalosafiri katika ya Tabata na Mnazi Mmoja akifunga tandiko kabla ya kuanza safari. Kazi hiyo ikifanywa na mpigadebe huhitaji kulipwa sehemu ya nauli.

No comments:

Post a Comment