Tuesday, March 25, 2014

KAMPUNI YA SELCOM YAONGEZA AJIRA NA PATO KWA WATEJA

Wateja wakinunua muda wa maongezi katika Kituo cha Mauzo Makao Makuu ya Kampuni ya SELCOM Mtaa wa Jamhuri , Kampuni hiyo imeongeza ajira kutokana na kusambaza mashine za POS zaidi ya  7000, nchini ni makusudi ya SELCOM kuongeza ajira na pato kwa mtu mmoja, familia na Taifa kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment