Monday, March 17, 2014

MATUKIO YA MIKATABA YA MISAADA YA JAPANI KWA ZAHANATI NANYUMBU


Watawa wa Kikatoliki wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa COLIF Peter Mayenga wakati wa utiaja saini mikataba ya msaada wa Japani


Balozi wa Japani nchini  Masaki Okada, akifurahia na Mkurugenzi wa Taasisi ya COLIF inayojishulghulisha na miradi ya afya ya jamii katika wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, Peter Mayenga  (kushoto)  ,wakati wa kusaini makubaliano , Dar es  Salaam, ambapo Japani itatoa msaada wa ujenzi wa zahanati na vifaa tiba katika zahati za Chipuputa na Nanjota wilayani humo.


Balozi wa Japani akisoma hotuba wakati wa hafla hiyo. Dar es Salaam jana.

Mbunge wa Nanyumbu akizungumza mara baada ya kusainiwa kwa makubaliano  ya msaada.

Balozi wa Vatican ambaye ni Mawakilishi wa Baba Mtakatifu, Askofu Montecillo Francisco Padilla (kushoto), akizungumza na Balozi wa Japani, Masaki Okada.

Picha ya pamoja ya kumbukumbu ya tukio hilo.


No comments:

Post a Comment