Monday, March 17, 2014

MATUKIO YA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI KWADELO KONDOA DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Omary Kwaang (kulia) akimtambulisha Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wenye thamani ya milioni 268 katika Kata ya Kwadelo wilayani KONDOA Mkoa wa Dodoma


MAKUBALIANO YA MSAADA
Balozi wa Japani nchini  Masaki Okada, akifurahia na Mkurugenzi wa Taasisi ya COLIF inayojishulghulisha na miradi ya afya ya jamii katika wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, Peter Mayenga  (kushoto)  ,wakati wa kusaini makubaliano , Dar es  Salaam jana, ambapo Japani itatoa msaada wa ujenzi wa zahanati na vifaa tiba katika zahati za Chipuputa na Nanjota wilayani humo.

Watawa Kikatoliki wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa COLIF .

Balozi wa Japani akisoma hotuba wakati wa hafla hiyo. Dar es Salaam jana.

Mbunge wa Nanyumbu akizungumza mara baada ya kusainiwa kwa makubaliano  ya msaada.

Balozi wa Vatican ambaye ni Mawakilishi wa Baba Mtakatifu, Askofu Montecillo Francisco Padilla (kushoto), akizungumza na Balozi wa Japani, Masaki Okada.

Picha ya pamoja ya kumbukumbu ya tukio hilo.


No comments:

Post a Comment