Tuesday, March 25, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAKAMILISHA MRADI WA NYUMBA 15000 ZA GHALAMA NAFUU


   Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakijipatia huduma ya upimaji afya bila malipo inayotolewa na Mfuko wa  Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  katika Viwanja vya Mwembe Yanga.

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa nyumba 15000 za ghalama nafuu nchini. Nyumba 5000 zinajengwa Mwongozo Kigamboni Dar es Salaam.. Kushoto ni Meneja Masoko , Tuntufye Mwambusi na Meneja Mahusiano ya Jamii Susan Omary.
                                                    Nyumba 15000 taarifa ya NHC
                            WATANZANIA KUNUFAIKA na Mradi wa Nyumba 15000 za ghalama  nafuu nchini taarifa ya NHC

No comments:

Post a Comment