Monday, March 17, 2014

Balozi wa Vatican ambaye ni Mwakilishi wa Baba Mtakatifu nchini, Askofu Montecillo Francisco Padilla (kushoto), akizungumza na Balozi wa Japani, Masaki Okada, wakati wa hafla ya mikataba ya misaada.



Watawa wa Kikatoliki kutoka nchini Poland wanaofanya kazi za kujitolea nchini wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa taasis inayojishughulisha na afya ya jamii COLIF. Peter Mayenga (kulia)



Balozi wa Japani Masaki Okada akisoma hotuba wakati wa hafla hiyo. Dar es Salaam. mara baada ya utiaji saini makubaliano.


             Picha ya pamoja ya kumbukumbu ya tukio hilo.



Mbunge wa Nanyumbu akizungumza mara baada ya kusainiwa kwa makubaliano  ya msaada.





Balozi wa Japani nchini  Masaki Okada, akifurahia na Mkurugenzi wa Taasisi ya COLIF inayojishulghulisha na miradi ya afya ya jamii katika wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, Peter Mayenga  (kushoto)  ,wakati wa kusaini makubaliano , Dar es  Salaam jana, ambapo Japani itatoa msaada wa ujenzi wa zahanati na vifaa tiba katika zahati za Chipuputa na Nanjota.

No comments:

Post a Comment