KIKOMBE
Rais Dkt.Jakaya Kikwete, akikabidhi kombe
kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa Mwaka 2013, kwa
Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia
ya TBL, Stephen Kilindo wakati wa hafla ya makabidhiano ya tuzo hizo
yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni Mwenyekiti wa
Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dkt. Samwel Nyantahe ( wa pili
kulia) wakati wa kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CTI, Dkt. Reginald Mengi
ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP ambayo ilikuwa mdhamini
mkuu wa hafla hiyo. (Picha na Charles
Lucas)
MAELEZO KWA
WAZIRI
Waziri wa Kazi na
Ajira, Gaudensia Kabaka (wa pili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa
Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carolyne Newa wakati
alipotemberlea banda NSSFwakati wa uzinduzi wa mashindano ya NSSF Media Cup
2014 kwenye uwanja wa TTC Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpiga Picha
Wetu)
No comments:
Post a Comment