Sunday, March 30, 2014

KAMPUNI TUMBAKU YAKABIDHI MASHINE YA UTRA SOUND MOROGORO


 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid(kushoto)
akishirikiana na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya
 Tumbaku(TLTC) Richard Sinamtwa kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi
wa mashine ya Utra Saund iliyotolewa na Kampuni ya Tumbaku ya TLTC kwa
Hospitali ya Rufaa ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment