Ofisa Usalama wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Mkoa wa Magomeni, Dunia Shami (wa pili kulia), akiandika maelezo ya mita iliyokutwa imeharibiwa kwa kusababisha wizi wa umeme wakati wa operesheni eneo la Magomeni
Kikosi maalumu cha ukaguzi wa mita na miundombinu kikikata umeme katika moja ya nyumba Magomeni baada ya kukutwa ikiwa imeharibu mita na kuiba umeme
Maofisa wa shirika na wakazi wakiikagua mita iliyoharibiwa ( kushoto) ni Ofisa Usalama wa shirika hilo. Dunia Shami (wa pili kulia) ni mmliki wa nyumba hiyo.
Maofisa wa shirika hilo wakiangalia mfumo uliotumika kuiba umeme katika moja ya nyumba iliyopo Tandale Uzuri wakati wa operesheni hiyo.
Mita iliyochezewa ili kuiba umeme kama ilivyokutwa Tandale Uzuri, Tanesco ipo katka operesheni endelevu ya kusaka waiba umeme na miundombinu mingine nchini
Ofisa Usalama wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Mkoa wa Magomeni,, Dunia Shami (aliyeketi wa pili kulia), akiandika taarifa ya mita iliyohalibiwa na kusababisha wizi wa umeme Magomeni Jijijini Dar es Salaam, wakati wa operesheni.
Nyumba iliyobainika kuiba umeme ikikatiwa huduma ya umeme ili taratibu zingine ziweze kufuatwa kupata huduma hiyo.
Maofisa wa TANESCO wakiangalia mfumo wa wizi wa umeme katika Nyumba ya mkazi wa Tandale Uzuri wakati wa operesheni inayoendelea mkoa wa Magomeni jijini
Maofisa wa TANESCO wakiikagua mita iliyoharibiwa ili kuiba umeme Magomeni
Mita iliyoharibiwa ili kuiba umeme Manzese Uzuri
No comments:
Post a Comment