Mchuuzi wa mbogamboga na matunda, akiwa ameketi juu ya sakafu ya soko la chini ardhini (shimoni), huku akiendelea na kazi yake kutokana na eneo hilo kujaa wachuuzi bila utaratibu maalumu, mazingira ya soko hilo la Kimataifa ni mbaya kutokana na uchafu.na msongamano.
Askari wa Shirika la Masoko ya Kariakoo wakimwaga kifusi katika eneo lenye dimbwi ambalo hutumika kama maegesho ya magari kwa malipo. Nini kifanyike kuboresha mazingira ya soko hili muhimu. ?
No comments:
Post a Comment