Sunday, March 30, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIFURAHIA JAMBO

Rais Jakaya Kikwete akijaribu kumrudisha mtoto Aweso Hatib (miezi 6) kwa mama yake Azmara Haruna (20) (hayupo pichani) baada ya mtoto huyo kukataa kumuachia Rais Kikwete jambo lililofanya watu kuangua kicheko. Tukio hilo lilitokea Machi 26, 2014 kwenye Shule ya Sekondari Potwe wilayani Muheza. wakati wa ziara.(Picha na Yusuph Mussa).

No comments:

Post a Comment