Rais akizungumza mara baada ya kupokea tuzo hiyo |
Mkurugenzi wa Tiba wa Hospitali ya Aga Khan Dkt. Jaffer Dharsee akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani)Dar es Salaam jana, mashine ya kusafisha figo aina ya Renal Dialysis, wakati kuutambulisha mpango wa Tiba ya Saratani inayofanyika katika hospitali hiyo na ujenzi wa hospitali mpya 6 katika mikoa mbalimbali nchni mradi wenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 80, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
Dkt. Jaffer Dharsee akikagua moja ya kompyuta ya kufuatilia afya ya mgonjwa
Mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali hiyo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matibabu anayopata
Mkurugenzi wa Tiba Dkt. Jaffer Dharsee (kulia) akizungumza na baadhi na viongozi wengine wakati wa ziara ya waandishi wa habari. Kushoto mtaalamu wa magonjwa ya moyo na figo wa hospitali hiyo Dkt. Amin Alidina
Waandishi wakizungumza na baadhi ya wagonjwa wa saratani wanatibiwa katika hospitali hiyo
Dkt. Dharsee akionesha mashine ya kisasa kusafisha ya figo |
Ofisa Uendeshaji wa hospitali hiyo, Sisawo Konteh (kulia akizungumza wakati ziara hiyo .Kushoto ni Dkt. Jaffer Dharsee na Dkt. Amin Alidina
No comments:
Post a Comment