Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania Ibrahim Kombo, (wa pili kushoto) akifurahia jambo wakati wa kupiga picha ya pamoja na washindi za zawadi mbalimbali , Dar es Salaam baada ya kununua bidhaa za kampuni hiyo
|
wakilishi Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi tablet mmoja wa washindi, Elizabeth Gasper jana |
Mwakilishi Ibrahim Kombo (kushoto) akimkabidhi macrowave mshindi Mary Nyarusi
Mwakilishi Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi kamera Masimo John mmoja wa washindi, Elizabeth Gasper jana |
No comments:
Post a Comment