Wednesday, April 23, 2014

BARABARA YA UHURU KARIAKOO DAR ES SALAAM YAFURIKA MAJI KWA KUKOSA MITARO

Magari na pikipiki yakipita kando ya daladala linalofanya safari kati ya Ubungo na Mbagala lililokuwa likining'inia katika mtaro wa Barabara ya Kilwa baada ya kushindwa kupanda mlima eneo la Mtoni Mtongani, Dar es Salaam


Wasamaria wakijaribu kulinasua gari lililotumbukia katika shimo kwenye Barabara ya Uhuru Kariakoo Dar es Salaam. Kutokana na kutokuwapo kwa mifereji barabara hiyo imefurika maji yanayotokana na mvua za zinazoendelea kunyesha jijini.

No comments:

Post a Comment