|
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Kielekitroniki (TEHAMA), Phares Magesa, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa kielekroniki utakaohusisha taasisi mbalimbali ili kuwezesha upakuaji na upakiaji mizigo kwa haraka bandarni na kuondoa urasimu |
Mkurugenzi Phares Magesa akisaini na Meneja Mkuu wa Kampuni ya PHAEROS ya Ubelgiji, Stan De Smet itakayojenga mradi huo, wanaoshuhudia ni baadhi ya wadau na wanakamati ya maandalizi ya mpango huo
Wakipongezana baada ya kubadilishana hati za mkataba wa makubaliano wengine ni wadau wa bandari nchini
Askari akiliandikia faini daladala baada ya kukiuka sheria eneo la Mnazi Mmoja
No comments:
Post a Comment