Wednesday, April 16, 2014

JUBILEI YA MIAKA 15 YA SHIRIKA LA COMPASSION TANZANIA YAFANA DAR

          Baadhi ya viongozi wa taasisi na mashirika mbalimbali ya kidini wakiwa katika sala wakati wa maadhimisho ya miaka 15 ya Shirika la Compassin nchini
                             Wageni mbalimbali wakiwa katika mkutano wa Jubilei hiyo, iliyofanyika Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)
Mkurugenzi Mkazi wa shirika hilo Joseph Mitinje akisikiliza maelezo ya mtangazaji mwanafunzi anafadhiliwa na shirika hilo Saada Abdul  wakati wa maadhimisho hayo

                      Joseph Mitinje akiwa amejipumzisha kabla ya kuanza sherehe za jubilei hiyo

No comments:

Post a Comment