Wednesday, April 16, 2014

JUBILEI YA MIAKA 15 YA SHIRIKA LA COMPASSION NCHNI

SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA HUDUMA YA MTOTO
NCHINI TANZANIA, APRILI 30, 1999—APRILI 30, 2014

1.0 UTANGULIZI
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Mathayo 6:33.

Mheshimiwa Mgeni Maalumu Makamu wa Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Mchungaji Magnus Mhiche, Waheshimiwa watumishi wa Mungu Maaskofu, Wachungaji, Wenyeviti wa kamati ya huduma ya mtoto, Wakurugenzi wa vituo vya huduma ya mtoto, viongozi mbalimbali wa Kanisa na Watendakazi wa ofisi ya Nchi CIT; ninawasalimu katika Jina la Yesu: Bwana Yesu Asifiwe, Mwanakondoo ameshinda, uhuru wa wa Yesu, Tumsifu Yesu Kristo.

 Ninafuraha kubwa kuwa mbele yenu siku ya leo na kama ambavyo nimetambulishwa, mimi ni Mchungaji Joseph Mayala Mitinje  ambaye kwa neema ya Mungu ni Mkurugenzi wa Shirika la Huduma ya Mtoto Compassion International Tanzania

Mstari huu kutoka kitabu cha Injili cha Mathayo 6:33, umekuwa ni kauli mbiu yetu sisi watumishi wa Ofisi ya Nchi tangu mwaka 2010 . Limekuwa ombi letu kwa Mungu kutaka atusaidie kuutafuta kwanza 

No comments:

Post a Comment