Maduka yakiwa yamefurika maji katika Stendi ya Mbagala Rangitatu
Magari ya kusafirisha mabomba ya mradi wa gesi asilia yakiwa yamezama na mafuriko eneo la Mbagala Kongowe
Gari likiwa limekwama katika barabara iliyokatika Mbagala Kokoto
Mpiga mbizi akisaka vitu mbalimbali vilivyosombwa na mafuriko eneo la Mto Mzinga
Baadhi ya wakazi wa jiji wakiwa juu ya daraja la Mto Mzinga wakiangalia vitu mbalimbali vilisombwa na mafurika
Nyumba ikiwa imezingirwa na mafuriko eneo la Mto Mzinga
Gari daladala lenye namba T 796 BTW likikaribia kupinduka kutokana Barabara ya Kilwa eneo la Kongowe Mzinga kukatika
Mpigambizi anayeonekana sehemu ya kichwa (katikati), akilifuatilia tenki la maji linaloea mbele yake
No comments:
Post a Comment