Wasanii wa
kikundi cha ngoma na maigizo cha Kijiji cha Mahumbika,mkoani Lindi wakitoa burudani, wakati wa hafla ya
kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni
katika kijiji hicho.
(Na Mpigapicha Wetu) BandariBaadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mahumbika, mkoani Lindi, wakiimba wimbo wa Taifa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya sh. milioni 20 ukiwa ni msaada wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji hicho.
No comments:
Post a Comment