Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kushoto), akikabidhi kombe la pool ikiwa ni uzinduzi wa kombe hilo kwa Mwaka 2014, anayepokea ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Tanzania (TAPA), Amos Kafyunga, Nahodha wa Timu ya Mabingwa mtetezi wa kombe hilo Chuo cha CBE, Abubakar Amri na Bingwa Mtetezi kwa Wanawake Lilian Meori (kushoto).
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kushoto), akikabidhi medali pool wakati wa uzinduzi wa kombe hilo kwa Mwaka 2014, Dar es Salaam, anayepokea ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Tanzania (TAFA), Amos Kafyunga, Nahodha wa Timu ya Mabingwa mtetezi wa kombe hilo Chuo cha CBE, Abubakar Amri na Bingwa Mtetezi kwa Wanawake Lilian Meori (kushoto).
Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo, akicheza pool ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa mashindano hayo kwa vyuo vya elimu ya juu nchini 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Tanzania (TAFA), Amos Kafwinga
Kombe litakaloshindaniwa 2014, kando ni sehemu ya warembo walionogesha uzinduzi huo
Wasanii wa
kikundi cha ngoma na maigizo cha Kijiji cha Mahumbika,mkoani Lindi wakitoa burudani, wakati wa hafla ya
kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni
katika kijiji hicho.
No comments:
Post a Comment