Wednesday, April 16, 2014

MASHIMO HAYA NI HATARI JIJINI PIA ANGALIA MAONESHO YA TAASISI ZA MUUNGANO MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM

                 Wapitanjia wakipita kando ya shimo katika Mtaa wa Msimbazi Dar es Salaam. Mashimo hayo yanahatarisha usalama wa magari na watembeao kwa miguu
        Magari yakikwepa shimo hilo lililopo Barabara ya Nyerere eneo la Kituo Basi Gold Star,Gerezani Kariakoo, Dar es Salaam
Gari daladala  likisubiri abiria kando ya shimo lililopo Shule ya Uhuru Kariakoo Dar es Salaam. Mashimo ya aina hii ni mengi jijini
             Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa katika maandalizi ya banda lao la Ofisi ya Makamu wa Rais Mnazi Mmoja
          Banda maalumu la viongozi wanaotembelea maonesho hayo katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
             Baadhi wanafunzi wa shule mbalim,bali wakiwa katika maadhimisho hayo Mnazi Mmoja Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment