Thursday, April 17, 2014
RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA UONGOZI BORA WA MFANO AFRIKA
Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akiiiangalia Tuzo Maalumu. Ikulu Dar es Salaam jana, mara baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe (katikati) iliyotolewa na mashirika ya Kimataifa kutokana uongozi wake bora wa mfano katika nchi za Afrika. Tuzo hiyo ilitolewa nchini Marekani baada ya kupigiwa kura yakukukubarika na watu zaidi ya 400,000 Duniani. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Salva Rweyemamu.
Rais akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kupokea tuzo hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment