Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal (wa tatu kushoto), akiwa na viongozi wengine katika msiba wa baba yake Rostam Aziz Mbunge wa zamani wa Igunga Tabora (pili kulia) Kulia ni Jaji Mkuu Othman Chande Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik Shehe Mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaaban Bin Simba |
No comments:
Post a Comment