 |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na na Waziri wa Mambo ya Nchi
za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam, leo Mei 30, 2014. Picha na OMR |
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa
Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30,
2014. Katika mazungumzo yao walisisitiza
juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili . Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya
Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
ya Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment