 |
| Shimo hilo lipo katika Barabara ya Msimbazi Karibu na Kituo cha Mafuta cha GAPCO Kariakoo Manispaa ya Ilala. |
 |
| Magari yakipita kando ya magurudumu yaliyowekwa ikiwa ni tahadhari kwa watumiaji wa Barabara ya Msimbazi wasitumbukie katika shimo. Shimo hilo lipo mbele ya Kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo, Dar es Salaam. |
Dampo lisilo rasmi lililopo Temeke Mwisho linatishia usalama wa afya za wakazi wa eneo hilo. Eneo hilo ni Uwanja wa wazi wa kupumzikia wananchi
Barabara ya Bandari eneo la daraja la BP ikiwa katika hatari ya kutokupitika kutokana na kukatika upande mmoja Manispaa ya TEMEKE
 |
| Dampo lisilo rasmi katika Mtaa wa Livingstone Kariakoo ni moja ya kero ya Manispaa ya Ilala |
Gari na mwendeshaji baiskeli wakikwepa moja ya shimo lililopo Barabara ya Morogoro eneo la Kisutu, Stendi ya zamani ya mabasi Manispaa ya Ilala
No comments:
Post a Comment