Wednesday, May 21, 2014

MASHINDANO YA CASTLE LAGER PERFECT 6 KUANZA JUMAMOSI DAR - MORO

              Meneja wa Bia ya Castle Lager,  Kabula Nshimo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa mashindano Mashindano ya mpira wa miguu ya Castle Lager  Perfect 6  katika Mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro Mei 25 katika Viwanja vya Mbagala Zakhiem, Rova Ashanti Temeke na Sinza Garden.  Mratibu wa , Peter Zacharia,. na Mratibu wa Vyoimbo vya Habari Ibrahim  Kyaluzi.
            Mratibu wa akifanunua jambo kuhusu ratiba na timu shiriki. Mashindano hayo pia yatahusisha shindano la kuwapata washindi watakaokwenda Hispani kuangalia mechi ya Barcelona.

No comments:

Post a Comment