Tuesday, May 20, 2014

TIGO YAZINDUA TAMTHILIA YA 'Kinga ya Moyo Wangu' KUPITIA CLOUDS FM


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam,  wakati wa uzinduzi wa Tamthilia ya 'Kinga ya Moyo Wangu', ambayo itarushwa katika Kituo cha Redio Clouds FM, lengo likiwa ni kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiunga na bima. Kulia ni mtaalamu wa masuala ya bima, Christian Karlander.
Mtaalamu wa masuala ya bima Donald Galinoma (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo
Mtaalamu wa masuala ya bima Christian Karlander (kulia), akionesha moja ya vipeperushi vinavyohusu masuala ya bima wakati wa uzinduzi, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment