Tuesday, May 20, 2014

UZINDUZI WA RIPOTI YA UTAFITI WA UHAMISHAJI WA FEDHA HARAMU NA MISAMAHA YA KODI AFRIKA

Rais wa Taasisi ya Fedha ya Global Financial Integrity yenye Makao Makuu Washington DC Marekani, Raymond Baker, akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo

           Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhulia ripoti hiyo iliyofanyiwa utafiti katika nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Msumbiji na Ghana.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, Zitto Kabwe (katikati), akizungumza na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade (kushoto) na Mkurugenzi wa Taasisi ya TWAWEZA, Rakesh Rajani, kabla ya kuzinduliwa ripoti hiyo Dar es Salaam.
Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento (kushoto), akiwa na Rais wa Taasisi ya Fedha ya Global Financial Integrity yenye Makao Makuu Washington DC Marekani, Raymond Baker

   Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Benno Ndullu (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo. Kulia ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, Zitto Kabwe.

No comments:

Post a Comment