Tuesday, June 10, 2014

JOPO LA MAWAKILI LHRC NA TLS KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU DHIDI YA PINDA


Mmoja wa mawakili walioshiriki kuandaa mashitaka dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Peter Kibatala (wa pili kulia),  akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam juzi, kuhusu uamuzi wa kukata rufaa Mahakama ya Rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi hiyo. Wengine (kulia) ni Wakili Harold Sungusia , Mpale Mpoki (kushoto) na Makamu wa Rais wa TLS Flaviana Charles.

No comments:

Post a Comment