Friday, June 20, 2014

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA UBUNGO / MBAGALA

Msamaria akimsaidia dereva wa pikipiki (kushoto) kuiinua mara baada ya kugongwa nba gari (halipo pichani) eneo la Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam

Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam alikutwa 'akiuchapa' usingizi katika gari la wazi lilipokuwa kwenye foleni Ubungo Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment