Golikipa
watimu ya NMB akiokoa mkwaju uliokuwa ukielekea langoni mwa goli la
NMB wakati wa mtanange wa kukata na shoka kati ya timu ya wabunge na NMB
iliyochezwa mwishoni mwa Wiki
mjini Dodoma. NMB waliwafunga timu ya Bunge 4-0.
4711
-Kikosi mahili cha timu ya NMB kilichoichapa timu ya Bunge 4-0
wakicheza na kufurahia ushindi walioupata katika mchezo wa kirafiki
iliyochezwa siku ya jumapili katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma.
 |
Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya Bia nchini(TBL),
Robert Kaziwa (kushoto)akimkabidhi mwakilishi wa wa kikundi cha Magereza
Arts Group zawadi ya kitita cha Shilingi 600,000/= mara baada ya kuibuka
mabingwa katika fainali za mashindano ya Balimi Kanda ya Ziwa ngazi za mikoa
Mkoa Mkoa wa Tabora mwishoni mwa wiki.
|
Baadhi ya wacheza ngoma wa Magereza Arts Group
wakishangilia na kitita cha Shilingi 600,000/=mara baada ya kuibuka mabingwa
katika fainali za mashindano ya Balimi Ngoma Mkoa wa Tabora yaliyomalizika
mwishoni mwa wiki Mkoani humo.
No comments:
Post a Comment