Askari akiwa amemshiliria mmoja wa vijana waliotuhumiwa kupora mabaki ya vitu vilivyoungua moto |
Mmoja wa wafanyabiashara akiwa ameshika kichwa baada ya kuona uharibifu uliotokana na moto huo |
Mfanyabiashara akihamisha mabaki ya bati zilizoungua moto |
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiangalia uharibifu kwenye soko hilo |
Baadhi ya wafanyabiashara wakijadiliana kuhusu hasara iliyotokana na moto huo |
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wanaojishughulisha na uokotaji wa chuma chakavu waking'oa mabomba katika mabanda ya biashara katika Soko la Mchikichini jana, mara baada ya soko hilo kuungua moto juzi.
No comments:
Post a Comment