Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Marimatha Lyimo, akiwapa zawadi baafhi ya watoto wa Shule ya Msingi Mlimani, ikiwa ni sehemu ya maaadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika . |
Meneja wa Tawi la CRDB Kijitonyama Mr. Lucas (wa pili kushoto), akiangalia wakati mmoja wa watoto akikata keki |
Meneja wa Tawi la Benki ya CRDB Chuo Kikuu, Hezron Kahatano, akizungumza na watoto wa Shule ya Msingi Mlimani, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo, wapili kushoto ni Ofisa Masoko, Malimatha Lyimo, Meneja Biashara za Kibenki, Edward Ngaula na Kulia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Emmanuel Shayo.
Baadhi ya watoto wakiangalia picha zenye maelezo ya akaunti za watoto Junior. kwenye Tawi la Kijitonyama
Meneja wa Tawi la benki ya CRDB Mlimani City, Allen Killango akiwapa zawadi watoto waliotembelea tawi hilo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment