Monday, June 9, 2014

RAIS Dkt. JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA KANALI MSTAAFU WA JWTZ ALI HASSAN MWANAKATWE




Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Kanali huyo mstaafu


Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Kanali Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Ali Hassan Mwanakatwe ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Tanzania FAT (sasa TFF), Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

No comments:

Post a Comment