Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Meneja wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mkoa wa Dodoma Bw. Kirondera
Nyabuyenze, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais
kutambua mchango wa shirika hilo katika kusaidia vikundi vya wasanii
wa Muziki, Taarab na Filamu nchini. Kulia ni Mwanamuziki wa kizazi
kipya
No comments:
Post a Comment